Mvuto wa Mwanamke kwa Mwanaume,Kinyota

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

     

    WANAUME WENYE NYOTA YA PUNDA (ARIES)
    Mwanaume wa nyota ya Punda huvutiwa sana na mwanamke mwenye tabia za kiume, kama vile mwenye umbo la mwanamichezo, lakini zaidi awe ni muwazi na mkweli na asiwe mwenye kuona haya.

    WANAUME WENYE NYOTA YA NG’OMBE (TAURUS)
    Wanaume wa nyota Ngo’mbe wanapenda Mwanamke mwenye umbo la namba nane 8, lenye muonekano wa kike asilia, mwembamba na mwenye mvuto wa kawaida.

    WANAUME WENYE NYOTA YA MAPACHA (GEMINI)
    Wanaume wenye nyota ya Mapacha wanapenda wanawake werevu, wajanja na warembo, wenye umbo la wanamichezo au umbo la kiume na wawe wembamba.

    WANAMUME WENYE NYOTA YA KAA (CANCER)
    Wanaume wenye nyota ya Kaa wanapenda wanawake wapole, wakarimu na Waaminifu. Mara nyingi mwenye nyota hii huvutiwa na mwanamke aliyevalia nguo za kawaida bila kuzidisha vipodozi na awe na matiti ya kawaida, yasiwe makubwa au madogo.

    WANAUME WENYE NYOTA YA SIMBA (LEO)
    Wenye nyota ya Simba huvutiwa sana na wanawake wenye majivuno, wanaopenda kutoka na walio imara na wenye kujiamini vile vile wanawake wanaojipodoa sana na kung’aa kwa kuvaa mikufu, bangili, pete na hereni na kujitokeza bila ya kuona haya.

    WANAUME WENYE NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)
    Kawaida wenye Nyota ya Mashuke hupenda wanawake wanaojiweka katika hali ya kawaida (simple), mavazi yao ya kawaida wala sio ya kujionesha sana, wenye afya nzuri, asilia (Natural) werevu na wenye muamko katika kuboresha maisha.

    WANAUME WENYE NYOTA YA MIZANI (LIBRA)
    Kwa wenye nyota ya Mizani huvutiwa sana na mwanamke anaeonekana kua chini ya kiwango cha urembo, (simple) lakini maridadi katika mavazi. mwenye tabia nzuri. Mwanamume wa mizani huchukizwa sana na mwanamke jeuri na mwenye makelele.

    READ ALSO  I am rich, happily married young woman after I talked to this man.

    MWANAUME MWENYE NYOTA YA NG’E (SCORPIO)
    Mwanaume mwenye nyota ya Ng’e hupenda wanawake wenye hisia kali ya kimapenzi, mvuto ambao rangi yao ni nzito na wenye taswira ya nguvu.

    WANAUME WENYE NYOTA YA MSHALE (SAGITTARIUS)
    Kwa kawaida wenye nyota hii hupenda wanawake washupavu, wenye muonekano wa furaha saa zote, wasafi, wenye umbile la mwanamichezo na wembamba.

    MWANAUME MWENYE NYOTA YA MBUZI (CAPRICORN)
    Mwanamume mwenye nyoa ya Mbuzi anapenda mwanamke mshindani, mwenye muonekano wa kisasa, mwenye kujiendeleza kikazi na awe anamzidi umri.

    MWANAUME MWENYE NYOTA YA NDOO (AQUARIUS)
    Mwanaume wa nyota ya Ndoo huvutiwa sana na wanawake wasiojali sana mitindo na staili ya mavazi yao. Hupenda mwanamke awe mchangamfu na msemaji.

    MWANAUME MWENYE NYOTA YA SAMAKI (PISCES)
    Mwanaume wa nyota ya samaki huvutiwa sana na mwanamke mpole, mkarimu, mtegemezi kwa kiasi fulani, hata kama si mchangamfu, asiyejiweza au mwenye kujiamini kwake yeye ni sawa tu.

    Mvuto wa Mwanaume kwa Mwanamke Kinyota.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA PUNDA (ARIES)
    Huvutiwa na Mwanaume mwenye nguvu, aliye huru, mkweli, mwenye umbo la mwanamichezo na asiye na haya

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA NG’OMBE (TAURUS)
    Huvutiwa na Mwanaume mwenye Pesa, Mwanajeshi na mwenye misuli mikubwa

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA MAPACHA (GEMINI)
    Huvutiwa na wanaume wanamichezo, wembamba, na watundu na wakutoka mbali au nchi ingine na kupenda mambo ya watoto au nguo za kitoto.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA KAA (CANCER)
    Hupenda wanaume watu wazima zaidi yake walioachana na wake zao na wenye kujua mambo ya kimapenzi.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA SIMBA (LEO)
    Wanavutiwa sana na wanaume wenye maringo, kununa, Majivuno, kutembea tembea na kukandana kandana na kupenda nguo zinazo ng’ara.

    READ ALSO  "Three years after his death, my husband kept coming back to me and we even had sex something that have me sleepless nights" Woman reveals

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA MASHUKE (VIRGO)
    Hupenda mpenzi mpita njia mtu wa kawaida, pengine mpika chips au teksi dereva.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA MIZANI (LIBRA)
    Mwanaume mwenye kupenda tendo la ndoa kila saa, kupenda nyimbo na starehe za kuimba na madisko.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA NG’E (SCORPIO)
    Anapenda sana kua na mwanamume mfupi, mwenye nguvu na anaedumu katika tendo la ndoa kwa muda mrefu.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA MSHALE (SAGITTARIUS)
    Huvutiwa na Mwanamume mwenye kupenda mzaha, kucheka cheka, utani utani, kutembea kwa miguu na anaeishi ugenini.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA MBUZI (CAPRICORN)
    Huvutiwa sana na mabwana za watu na viongozi, au mabwana waliofiwa na wake zao na walioendelea kibiashara na kulazimisha kujengewa nyumba au kununuliwa gari.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA NDOO (AQUARIUS)
    Huvutiwa sana na wanaume wapenda senema na kuchanganyika na watu katika magenge na mikutano.

    MWANAMKE MWENYE NYOTA YA SAMAKI (PISCES)
    Huvutiwa sana na Mwanaume wa kutoka miji ya mbali na kumtosheleza katika tendo la Ndoa la kurudia mara kwa mara na kusafiri nae na kutembea nae popote aendapo.Kwa uzaidizi wowote tutembelee katika ofisini kwetu ambayo epo Majengo County ya vihiga au piga simu +254740637248 au tembelea tovuti yetu katika www.mugwenudoctors.com

       
       
       
       
       
     
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Unlock Abundant Wealth with Our Proven Money Spells, Instant Money Spells, 40 Money Spells Man Wins Court Case through Spells to Win Case Land the Best Paying Jobs in Kenya and Uganda Bring Back Lost Lover with Holy Ash We Can Help You Bring Back Your Lost Lover

    READ OUR PRIVACY POLICY