“Onja Onja Imekuletea Magonjwa. Utahanya Mpaka lini??” Malalamishi Yatolewa Kuhusu Tabia Za Mwangome Ukunda Baada ya Kufumaniwa na Mkewe

  • CONTACT US:   |   |  
  •  

    [embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=PfzX8cM60dU[/embedyt]

    HII NI VIDEO YA MUGWENU DOCTORS TUNAVYO ENDELEA KUGEUZA MAISHA YA WANANCHI WENGI.

    Mwangome alianza kuonyesha dalili za kuambukizwa ugonjwa wa zinaa wiki iliyo pita. Anajikunakuna Kama mtu aliyetembelewa na mabuu. Mke wake Halima ndiye wa kwanza aliyemshuku. Mwanzo alidhani ni uchafu tu kwa kukosa kuoga lakini akachunguza na kugundua bado huteremka mtoni kwenda kuoga. Hivyo Basi, lazima Kuna linalomfanya kila kukicha akifungua zipu na kujikuna. Mwishowe akamuuliza rafikiye na kuambiwa huenda ana ugonjwa wa zinaa. Akakumbuka si kitambo alimfumania na Kache aliyekuwa akiuza samaki huko Ukunda. Akakasirika, kwani walikubaliana ataacha tabia ya ukiritimba na umalaya.

    Majadiliano waliyoyafanya kulikuwa na mashahidi wa kutosha. Pande zote mbili zilikaa chini na Mwangome akaomba msamaha mbele ya watu kuwa ameacha kama alivyoacha kunyonya titi la mamake. Sasa Halima amejipata akijiuliza maswali. Ni ugonjwa gani?? Ukimwi? Kisonono? Uvimbe wa sehemu za siri ama ataanza kugeuka rangi na kuwa manjano? Je, naye pia ameambukizwa?? Afanyeje?? Maswali mengi, majibu hamna. Akaamua kujitenga naye kwanza aone kama ugonjwa wake utapona ama utamnyonya.

    Kwa Bahati nzuri hakuwa ameambukizwa. Lakini shida bado ikabaki ni ileile, ni nini kitamfanya Mwangome aache kuhanya? Akaondoka na kuenda Makongeni anaglau apate afueni kutoka kwa bughudha alizokuwa anazipitia. Akapatana na shoga yake wa kitambo aliyesoma naye Makongeni Primary. Haikuchukua muda akaamua kufunguka na kumjuza yanayomsibu. Rafikiye akacheka na kumwambia kuwa ipo siri ya kumfanya mumewe asihanye tena. Akampa namba ya Daktari wa kienyeji aitwae Dr Mugwenu. Akaharakisha na kumtafuta. Akarudi kwake akiwa na hamaki kuona kitakachotoke. Toba illahi!! Mwangome akajipata amekwama juu ya mama mboga hapo Ukunda walipokwenda chumbani. Akashtuka!! Kunani tena!! Akampigia mkewe simu akilia. Ngoma imepigwa ikapasuka. Sasa ni wakati wa marekebisho. Ikabidi atoe faini ili watenganishwe.

    READ ALSO  Hottest Kenyan Female Pastor Sins After Being Caught In a Lodging, Name Revealed

    Halima akatabasamu akijua pwagu ameshapata pwaguzi. Hakuna siku tena atakutwa na wasiwasi kuhusu ushirikina wa mumewe. Mwangome akakoma na kuepuka aibu kabisa. Kuanzia siku hiyo akaacha kabisa tabia zake na kujishighulisha tu na mkewe.

    MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

    He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://aol360studios.com Email: [email protected]

       
       
       
       
       
     
    4.8
    Based on 19 reviews
    powered by Google
    robert dede
    07:23 28 Sep 24
    Good job. You helped me get my wife back.
    Margaret Wanjala
    12:58 26 Sep 24
    I am deeply appreciative of the time and resources dedicated to my case.thanks so much mugwenu doctors
    Humphry Kigika
    05:47 23 Sep 24
    Thank you Doctor, you helped me a lot, my wife came back with the children
    mlikanews
    05:32 23 Sep 24
    He helped me alot.i get back my stollen properties.thanks alot mugwenu doctors.
    Valerie Mulaa
    18:39 22 Sep 24
    Thanks for helping me get back my husband. i love him so much. he gives me money nowadays. asante sanaaa
    Silverstain Mukagwa
    07:36 22 Sep 24
    Hello Mugwenu Doctor, your spell worked like I really wanted. The ceremony I did was a great moment! I felt an incredible energy enveloping me when I did it! I can’t believe this really happened after all the bad experiences I had with spell casters. Thank you very much Mugwenu Doctors!” – Lorene vuguza
    Cynthia Mutindi
    06:48 22 Sep 24
    Thanks to Mugweno Doctors.You helped my father who was in ICU For 14 days without doctors finding any disease. now He is healed and healthy
    Chief Chief
    13:29 21 Sep 24
    I had given up on ever getting help, until someone recommended me to Daktari. Thank you for being there for people like us
    Nicholas Kavita
    09:51 20 Sep 24
    I had a great experience with Mugwenu Doctors. They are very professional and helpful. Their services were effective and delivered with care. Highly recommend to anyone seeking traditional healing methods. Five stars for their dedication!"
    js_loader

    SUGGESTED FOR YOU

    Unlock Financial Stability with Our Proven Money Spells, Money Spells That Work, How to Perform a Money Spell How I Went from Broke to Financial Breakthrough in Just Three Days Through Fast Money Spells That Work Immediately How I Brought Back My Lost Lover in 24 Hours After a Painful Separation Through a Powerful Traditional Healing Process Must Read!! See What  To Do If You Wish To Protect  Yourself From Evil Eye & Bad Luck Shame!! Kampala City Lawyer Caught In The Act With  House Maid

    READ OUR PRIVACY POLICY